Galaxy S7

Samsung Galaxy S7 Kupatikana Kwa Rangi ya Black Pearl

Rangi hiyo ya Black Pearl itaanza kupatikana kwenye simu za samsung galaxy S7 edge pekee na vile vile simu hizo zitakuwa ni zile zenye ukubwa wa GB 128 tu, kuhusu sifa za simu hiyo simu hiyo itakua na sifa sawa na simu zingine za Samsung Galaxy S7 Edge.

Samsung Galaxy S7 Kupatikana Kwa Rangi ya Black Pearl 1

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
kuflash tecno
Jinsi ya Kuflash Simu za Tecno kwa Kutumia Kompyuta
Next Post
Facebook

Sasa Angalia Matukio yako ya Mwaka Kupitia Facebook