in

Hizi Hapa Sifa za Simu Mpya ya Samsung Galaxy S7

Hizi Hapa Sifa za Simu Mpya ya Samsung Galaxy S7

Kama unatafuta specification za simu mpya ya samsung Galaxy s7 Hizi ndizo sifa za samsung galaxy S7, simu hii imezinduliwa tarehe 21 Feb 2016 uko Barcelona na imeonekana kuto tofautiana sana na Samsung galaxy S6.

Model NameGalaxy S7
Display5.1 inch Display (1440 X 2560 Resolution) (Super AMOLED, Force Touch with  TouchWIZ UI)
ProcessorOcta Core Snapdragon 820 / Exynos 8890, 64 bit Chipset
SIMNano SIM, Samsung Pay
ProtectionCorning Gorilla Glass 5, IP68 Water & Dust Resistance
GPUAdreno 530, ~576 ppi pixel density
OSAndroid v6.0 (Marshmallow OS)
RAM4 GB
Memory32/64/128 GB
Camera12.2 MP primary camera with BRITECELL Sensors, 8 MP Front facing camera with Dual Video call
Networking2G, 3G, 4G LTE, HSPA, GSM support v4.2 Bluetooth, NFC, Wi-Fi, A-GPS, GLONASS
SensorsFingerprint, Retina Scanner, Auto HDR, Gyro, SpO2 Accelerometer, Barometer, Proximity, Heart Rate etc.
BatteryNon-Removable Battery
Release dateFebruary 21, 2016

Dalili za Ugonjwa wa Kupenda Smartphone Kupita Kiasi

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

One Comment