Samsung Galaxy S7 Kupatikana Kwa Rangi ya Black Pearl

Samsung yatangaza toleo jipya la samsung galaxy s7 ya rangi nyeusi (Black Pearl)
Galaxy S7 Galaxy S7

Rangi hiyo ya Black Pearl itaanza kupatikana kwenye simu za samsung galaxy S7 edge pekee na vile vile simu hizo zitakuwa ni zile zenye ukubwa wa GB 128 tu, kuhusu sifa za simu hiyo simu hiyo itakua na sifa sawa na simu zingine za Samsung Galaxy S7 Edge.

Advertisement

Samsung Galaxy S7 Kupatikana Kwa Rangi ya Black Pearl

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *