Tengeneza Android App Bila Programu Yoyote

Share this item Shiriki na wengine

Android ni mfumo unao ongoza kutumia na watu wengi, kadri watu wanavyo ongezeka kutumia mfumo huu pia njia za kutengeneza pesa kupitia Android zinazidi kukuwa na kuongezeka kila siku.

Kupitia kozi hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutengeneza pesa mtandaoni kwa urahisi kupitia app ambayo utaweza kuitengeneza mwenyewe kwa urahisi bila kuwa na ujuzi wowote.

Nitakuonyesha njia ambayo utaweza kutengeneza app ambayo itapakuliwa na watu wengi zaidi na utaweza pia kutengeneza pesa kupitia njia hii kwa urahisi na haraka. Unaweza kuanza kutengeneza pesa mtandaoni kupitia app yako ndani ya siku chache. Kozi hii ni fupi na nitakufundisha hatua kwa hatua kila siku hadi app yako itakapo kamilika.

Huna haja ya kuwa na kompyuta bali hata simu yako ya mkononi itaweza kukusaidia kutengeneza app yako ya Android. Njia hii hadi sasa inaweza kutengeneza hadi dollar 10 kila siku kulingana na idadi ya watumiaji watakao pakua app yako.

Unaweza kujaribu mfano wa app hiyo kwa kubofya hapo juu, pia unaweza kuangalia picha hapo juu pia.

Wasiliana Nasi

Please Sign In to contact this author.

More Related Items by TanzaniaTech