XTOK : Je Unahitaji Uzoefu ili Kupata Kazi.?

Xtok imerudi tena kwa mwaka huu wa 2021
XTOK : Je Unahitaji Uzoefu ili Kupata Kazi.? XTOK : Je Unahitaji Uzoefu ili Kupata Kazi.?

Xtok imerudi tena kwa mwaka huu wa 2021 na mada ikiwa ”je ni lazima kuwa na uzoefu wa hiyo kazi ilikuajiriwa?” Je wewe upo upande gani unakubali au unakataa basi ili hoja zako ziweze sikika tafadhali bila ya kukosa Infinix Mobility LTD tukiwa kama wadhamini wa kubwa wa Xtok tunakukaribisha kuhudhuria kwenye mdahalo huu Jumamosi hii ya Tarehe 20 kuanzia saa 4:00 Asubuhi-7:00 Mchana Sahara Ventures.

XTOK : Je Unahitaji Uzoefu ili Kupata Kazi.?

Advertisement

Dhumuni la mdahalo ni kuwakutanisha vijana kutoka katika taaluma mbalimbali na lengo kuu ikiwa kujifunza, kufahamiana, kumjenge kijana kiakili, kifikra na kujiamini. Mdahalo huu utasindikizwa na Anthony Luvanda almaarufu MC Luvanda, Rodrick Nabe na Willy Grayson almaarufu kama MC willy hawa ni watu maarufu waliobeba katika tasnia ya “Uspeaker” na umaarufu wao umetokana na kujiajiri.

Kupitia mdahalo huu tutafahamu vitu mbalimbali ambavyo ni vya kujifunza kutoka pande mbili za wanaokubali kuwa ni lazima kuwa na uzoefu ili kupata na kazi na wanaopinga kuwa si lazima kuwa na uzoefu ili kupata kazi.

Infinix kupitia Xtok inakukaribisha bila ya kukosa kwani mawazo yetu kwa pamoja ni muhimu katika kumjenga kijana bora vile vile zawadi mbalimbali kama vile Infinix HOT 10play kuzawadiwa kwa mwenye hoja za mashiko.

Tembelea Bio @infinixmobiletz ili kujiunga sasa.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *