Sunday Movie #11 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Hii hapa movie nzuri ya kuangalia na familia yako jumapili ya leo tarehe 15/11/2020
Sunday Movie #11 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili Sunday Movie #11 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Karibu tena kwenye makala nyingine ya Sunday Movie, kwa siku ya leo nakuletea movie nzuri ambayo haiusiani na teknolojia moja kwa moja lakini naamini ni movie nzuri ambayo lazima utaweza kufurahia kuangalia na familia yako siku ya leo.

Kama wewe ni mpenzi wa movie basi moja kwa moja natumaini utafurahis movie hii, kujua zaidi kuhusu movie hii nakukaribisha kuangalia Trailer hapo chini.

Advertisement

Download Greenland Hapa

Kama ulipitwa na Sunday Movie #10 basi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya jumapili iliyopita ya tarehe 8 mwezi wa kumi na moja. Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa jinsi ya kudownload movie za Netflix bila kuwa na akaunti na bila kulipia.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *