in

Sunday Movie #10 Movie Nzuri ya Teknolojia ya Kuangalia Jumapili

Fahamu hapa movie nyingine nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili ya leo

Sunday Movie #10 Movie Nzuri ya Teknolojia ya Kuangalia Jumapili1:38

Habari na karibu tena kwenye sunday movie, kwa kuwa tulikua kwenye wiki ya muhimu kwa taifa sunday movie kwa wiki iliyopita haikwepo lakini kuanzia sasa tunaendelea kama kawaida.

Kupitia jumapili ya leo ya tarehe 8 mwezi Novemba nimekuletea movie inayohusu teknolojia ambayo natumaini inawashika watu wengi sana. Movie hii inahusu dereva wa taxi ambaye baada ya kuona hafanikiwi kupata follower kwenye mtandao wa kijamii kwa njia ya kawaida basi alimua kubuni njia zake ambazo sio nzuri ili mradi tu aweze kutrend!.

Kama umependa movie hii basi unaweza kupakua movie hii kupitia link hapo chini, kumbuka link hizi zinaweza kuwa hazipatikani kwa baadae hivyo hakikisha unapakua sasa kama unataka kuangalia movie hii.

Pakua Spree Hapa

Kama ulipitwa na Sunday Movie #9 basi unaweza kubofya hapa kujua movie hiyo ikiwa pamoja na kupakua movie hiyo kwa ajili ya kufarahia zaidi jumapili yako ya leo.

Tovuti za Kujifunza Kutengeneza Apps na Website Bure 100%

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.