Angalia Uzinduzi wa Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20

Angalia hapa mubashara uzinduzi wa simu mpya za Samsung Galaxy Note 20
Angalia Uzinduzi wa Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20 Angalia Uzinduzi wa Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20

Hayawi sasa yamekuwa, kampuni ya Samsung hivi leo inaenda kuzindua simu zake mpya za Samsung Galaxy Note 20, ikiwa pamoja na Tablet zake mpya za Galaxy Tab S7, Galaxy Tab S7+ na Galaxy Z Fold 2. Angalia mubashara uzinduzi huo kupitia hapo chini.

Mara baada ya uzinduzi sasa unaweza kuangalia uzinduzi mzima wa Galaxy Note 20 na Note 20 Ultra kwa muda mfupi chini ya dakika 9.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *