Sunday Movie #25 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili 1

Sunday Movie #25 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #25, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kupakua haraka pale movie inapo wekwa.

Movie hii ina mapigano sana hivyo sio nzuri kuangalia na watoto chini ya umri unaotakiwa.

Season Kamili 480p (GB 1.18)

Kama unataka kupakua Episode moja moja, unaweza kupakua kupitia link hapo chini, kumbuka hii ni tamthilia kamili hivyo unaweza kuangalia mwanzo hadi mwisho kwani imekamilika hadi mwisho.

Episode 1 480p (MB 200.7)

Episode 2 480p (MB 210.0)

Episode 3 480p (MB 200.7)

Episode 4 480p (MB 200.8)

Episode 5 480p (MB 200.6)

Episode 6 480p (MB 351.2)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #24 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Ramadhani Kareem na Jumapili njema yenye baraka!

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Nunua Simu Mpya ya Infinix Hot 10T Upate Zawadi Kibao! 2
Nunua Simu Mpya ya Infinix Hot 10T Upate Zawadi Kibao!
Next Post
Jinsi ya Kuangalia Kama Password Yako ni Salama 3

Jinsi ya Kuangalia Kama Password Yako ni Salama