in

Sunday Movie #24 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Movie nzuri ya kuangalia jumapili ya leo tarehe 02/05/2021

Sunday Movie #24 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili2:20

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #24, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kupakua haraka pale movie inapo wekwa.

Movie hii ina mapigano sana hivyo sio nzuri kuangalia na watoto chini ya umri unaotakiwa.

Pakua 480p (MB 351.2)

Pakua 720p (MB 750.8)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #23 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Ramadhani Kareem na Jumapili njema yenye baraka!

Tigo Pesa Mastercard Kwa Manunuzi Mtandaoni

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.