Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Video : Jiandae na Game Hizi Mpya Kwenye Xbox One, PS4 na PC 4

Video : Jiandae na Game Hizi Mpya Kwenye Xbox One, PS4 na PC

Kama wewe ni mpenzi wa Game basi ni vyema kufahamu kuwa tamasha la E3 au Electronic Entertainment Expo 2019, linatarajiwa kuanza rasmi siku ya kesho na kupitia tamasha hilo utaweza kuona kampuni mbalimbali zinazo tengeneza vifaa vya kielektroniki vya kuchezea Game pamoja na Game zenyewe, zikizindua game mpya pamoja na vifaa vipya vya kielektroniki vya kuchezea Game.

Sasa kabla ya tamasha hilo kuanza kampuni zinazo tengeneza game tayari zimesha zindua game mpya mbalimbali ambazo kama wewe ni mpenzi wa game ni vyema kuzifahamu. Game hizi zinakuja kwenye mifumo mbalimbali ya Xbox One, Playstation 4 (PS4) pamoja na PC. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie Game hizi.

Cyberpunk 2077

Tarehe ya Kutoka : 16 April 2020
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: CD Projekt

Halo Infinite

Tarehe ya Kutoka : 2020
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: 343 Industries

Gear 5

Tarehe ya Kutoka : 10th September 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: The Coalition

Star Wars: Fallen Order

Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: Respawn Entertainment

Wasteland 3

Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: inXile Entertainment

Blair Witch

Tarehe ya Kutoka : August 30, 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: Bloober team

Elden Ring

Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: Hidetaka Miyazaki

FIFA 20

Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: EA Sport

Deathloop

Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : PS4 na PC
Publisher: Arkane Studios-developed Bethesda

Borderlands 3

Tarehe ya Kutoka : September 13, 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: Gearbox Software, LLC

Na hizo ndio baadhi tu ya game ambazo hadi sasa tayari zimesha tangazwa, kama unataka kujua Game nyingine unaweza kutembelea ukurasa wa Game Hapa.

Previous Post
Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kwa Kutumia Simu ya Android 5

Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kwa Kutumia Simu ya Android

Next Post
Unaonaje Muonekano wa Simu Mpya za iPhone 11 na iPhone 11 Max 6

Unaonaje Muonekano wa Simu Mpya za iPhone 11 na iPhone 11 Max