Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kwa Kutumia Simu ya Android 1

Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kwa Kutumia Simu ya Android

Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotafuta njia mbalimbali za kutengeneza pesa mtandaoni basi makala hii ni kwaajili yako, kupitia makala hii utaweza kujifunza njia mpya za kuweza kutengenea pesa mtandaoni kwa kutumia simu yako ya Android.

Kumbuka unatakiwa kuwa na simu ya Android ili kuweza kuanza kupata pesa kwa kutumia njia hii, njia hii ni rahisi sana na haitaji ujuzi wowote. Basi bila kupoteza muda mrefu twende tukajifunze maujanja haya.

Apps Maalum

Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kwa Kutumia Simu ya Android 2
The app was not found in the store. :-(
SPENN
Price: To be announced

Kumbuka njia hizi hazitokupatia mamilioni ya pesa bali zita kusaidia kupata kipato kitakacho kusaidia kwenye mambo madogo madogo, kama unataka kujua njia nyingine rahisi zaidi basi soma hapa kujua jinsi ya kutengeneza pesa kwa kutumia App ya WhatsApp. Kama unataka kujifuna zaidi basi tembelea kipengele cha pesa mtandaoni.

Na hiyo ndio njia ambayo nimekuandalia kwa siku ya leo, kama unataka kupata maujanja mapya kila siku hakikisha una Subscribe kwenye channel yetu hapa. Nakuahidi hutojutia…..

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Samsung Galaxy Note 10 Kuzinduliwa Rasmi Tarehe 7 August 3
Samsung Galaxy Note 10 Kuzinduliwa Rasmi Tarehe 7 August
Next Post
Video : Jiandae na Game Hizi Mpya Kwenye Xbox One, PS4 na PC 4

Video : Jiandae na Game Hizi Mpya Kwenye Xbox One, PS4 na PC