Popular Now
Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama 5

Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews 6

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 7

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Angalia Uzinduzi wa Samsung Galaxy S21 Ndani ya DK 12 8

Angalia Uzinduzi wa Samsung Galaxy S21 Ndani ya DK 12

Kampuni ya Samsung hivi leo inazindua simu mpya za Samsung Galaxy S21 simu ambazo ni toleo jipya la simu za Samsung Galaxy S.

Kwa mwaka huu, tayari tunafahamu mengi kuhusu simu mpya za Galaxy S21, Galaxy S21 Plus na Galaxy S21 Ultra. Kama bado hujui sifa za simu hizi unaweza kusoma sifa za simu hizo kwa kubofya link hapo juu.

Lakini mbali ya hayo yapo mengi ambayo hatuyajui kama vile simu hizi mpya zinakuja bila chaja kwenye box, pamoja na mambo mengine kama vile simu ya Galaxy S21 Ultra kuja na kalamu maalum. Hayo na mengine mengi unaweza kujiunga mubashara kuangalia uzinduzi huu moja kwa moja.

Kwa habari zaidi kuhusu simu hizi mpya na nyingine nyingi zinazendelea kuzindualiwa kupitia CES 2021 unaweza kusoma hapa kupitia tovuti yetu ya Price in Tanzania. Kwa habari zaidi endelea pia kutembelea Tanzania tech kila siku.

Previous Post
Infinix Yapasua Anga na Kuwafikia Mashabiki Wake Kimataifa 9

Infinix Yapasua Anga na Kuwafikia Mashabiki Wake Kimataifa

Next Post
Mambo ya Muhimu Kujua Kuhusu Simu za Galaxy S21 10

Mambo ya Muhimu Kujua Kuhusu Simu za Galaxy S21