Samsung Yatangaza Simu Zitakazo Pokea Mfumo wa Android 10

Simu nyingi zitapokea mfumo huo mpya kuanzia January 2020
Samsung Yatangaza Simu Zitakazo Pokea Mfumo wa Android 10 Samsung Yatangaza Simu Zitakazo Pokea Mfumo wa Android 10

Kampuni ya Samsung hivi karibuni imetangaza ujio wa mfumo mpya wa Android 10 kwenye simu zake mpya, Kwa mujibu wa samsung simu zitakazopata mfumo mpya wa Android 10 zitakuja na muonekano mpya kabisa kutoka Samsung unaojulikana kama One UI 2.0.

Kwa mujibu wa Samsung, simu nyingi zinategemewa kuanza kupata mfumo huo mpya kuanzia January 2020, lakini kwa baadhi ya nchi tayari simu kama Galaxy S10 pamoja na Note 10 zimeanza kupokea mfumo mpya wa Android 10. Baadhi ya simu hizi ni kama zifuatazo

Advertisement

Simu za Samsung Zitakazopokea Android 10

SimuMuda
Galaxy S10January 2020
Galaxy S10+January 2020
Galaxy S10eJanuary 2020
Galaxy A40sFebruary 2020
Galaxy Note10February 2020
Galaxy Note10+ 5GFebruary 2020
Galaxy Note9February 2020
Galaxy S9March 2020
Galaxy S9+March 2020
Galaxy A8sMarch 2020
Galaxy A90 5GApril 2020
Galaxy A50sApril 2020
Galaxy A80April 2020
Galaxy A9 Star (SM-G8850)April 2020
Galaxy A60April 2020
Galaxy A9 Star (SM-G8858)May 2020
Galaxy A70May 2020
Galaxy A9 Star LiteMay 2020
Galaxy FoldMay 2020
Galaxy M30sMay 2020
Galaxy Tab S6May 2020
Galaxy A9 (2018)May 2020
Galaxy S Light Luxury EditionJune 2020
Galaxy W2019June 2020
Galaxy A20sJuly 2020
Galaxy A6sJuly 2020
Galaxy Tab S4July 2020
Galaxy Tab AAugust 2020
Galaxy Tab S5eAugust 2020
Galaxy Tab A 10.5 (2018)September 2020
Galaxy Tab A (SM-P200)September 2020
Galaxy Tab A 10.1October 2020

Kama wewe ni mmoja wa watu wenye simu hizo tegemea kupata mfumo mpya wa Android 10 kwenye simu yako lakini kumbuka kwa upande wa muda inaweza kuwa tofauti kwani list hapo juu ni tarehe ilyotajwa na samsung kwa simu za nchini China. Mara nyingi simu hizo zimekuwa zikipata masasisho sawa na simu za Afrika hivyo muda unaweza ukawa unafanana.

Pia muda huo unafanana na muda wa nchini india hivyo unaweza pia kuangalia list hapo chini ya muda pamoja na simu kwa watumiaji wa nchini India.

SimuMuda
Galaxy S9January 2020
Galaxy S9+January 2020
Galaxy Note9January 2020
Galaxy M20January 2020
Galaxy M30January 2020
Galaxy A30January 2020
Galaxy S10eJanuary 2020
Galaxy S10January 2020
Galaxy S10+January 2020
Galaxy Note10January 2020
Galaxy Note10+January 2020
Galaxy M40March 2020
Galaxy A6April 2020
Galaxy A6+April 2020
Galaxy A7 (2018)April 2020
Galaxy A9 (2018)April 2020
Galaxy A50April 2020
Galaxy A50sApril 2020
Galaxy A70April 2020
Galaxy A70sApril 2020
Galaxy A80April 2020
Galaxy FoldApril 2020
Galaxy M30sApril 2020
Galaxy Tab S6April 2020
Galaxy A8 StarMay 2020
Galaxy A10May 2020
Galaxy A10sMay 2020
Galaxy A20May 2020
Galaxy A30sMay 2020
Galaxy M10sMay 2020
Galaxy On6June 2020
Galaxy J6June 2020
Galaxy A20sJune 2020
Galaxy J6+July 2020
Galaxy J7 DuoJuly 2020
Galaxy On8July 2020
Galaxy J8July 2020
Galaxy Tab S4July 2020
Galaxy Tab S5eJuly 2020
Galaxy Tab A 8August 2020
Galaxy Tab A 10.5 (2018)September 2020
Galaxy Tab A 10.1September 2020

Kumbuka list hii inaweza kuongezwa na kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa simu zilizo tajwa hapo juu basi unaweza kuanza sasa kuangalia update kwenye simu yako ili kupata muonekano mpya wa simu yako.

Kama unataka kupata taarifa zaidi hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya Tanzania Tech kila siku pia ungana nasi kwenye mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa za haraka.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use