in

Hizi Hapa Sifa za Samsung Galaxy S9 na Galaxy S9 Plus

Hizi Hapa sifa kamili za simu mpya kutoka Samsung

Sifa za Samsung Galaxy S9

Simu mpya ya Samsung Galaxy S9, Tayari imesha toka rasmi na tumeona simu hii ikiwa na vitu vyote ambavyo tulisha viona hapo hawali kabla ya kutoka kwa simu hii. Lakini najua utakua unataka sifa kamili za simu hii pamoja na muonekano wa simu hii.

Kwa kuanza ningependa ujue kuwa simu hii mpya ya Samsung Galaxy S9 mwaka huu imetengenezwa maalum kwaajili ya watu wanaopenda picha yaani kifupi ni kuwa simu hii imefanyiwa maboresho makubwa sana kwenye upande wa kamera.kuliko sehemu nyingie.

Kabla ya kuangalia sifa za simu hii kwa undani ningependa nikuonyeshe kidogo simu hii ili uweze kuifahamu zaidi.

Sifa za Samsung Galaxy S9

 • Mfumo wa Uendeshaji –  Android 8 (Oreo)
 • Ukubwa wa Kioo – 5.8-inch Quad HD + Curved Super AMOLED, 18.5:9 (529ppi)
 • Ukubwa wa Simu – Body: 147.7mm x 68.7mm x 8.5mm, 163g, IP68
 • Ukubwa wa Kamera – Kamera ya Nyuma Super Speed Dual Pixel 12MP AF sensor with OIS (F1.5/F2.4) Kamera ya Mbele 8MP AF (F1.7)
 • Ukubwa wa Processor – 10nm, 64-bit, Octa-core processor (2.8 GHz Quad + 1.7 GHz Quad)
 • Ukubwa wa RAM – 4GB RAM /
 • Ukubwa wa Ndani – 64GB + Micro SD Slot (up to 400 GB)
 • Ukubwa wa Battery – 3,000mAh yenye teknolojia ya Fast Wired Charging compatible with QC 2.0 / Fast Wireless Charging compatible with WPC and PMA
 • Uwezo wa Network – Enhanced 4X4 MIMO / CA, LAA, LTE Cat.18
 • Aina za Viunganishi –  Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac (2.4/5GHz), VHT80 MU-MIMO, 1024QAM, Bluetooth® v 5.0 (LE up to 2Mbps), ANT+, USB type-C, NFC, Location (GPS, Galileo, Glonass, BeiDou)
 • Aina za Sensors – Iris sensor, Pressure sensor, Accelerometer, Barometer, Fingerprint sensor, Gyro sensor, Geomagnetic sensor, Hall sensor, HR sensor, Proximity sensor, RGB Light sensor
 • Aina ya Ulinzi – Authentication: Lock type: pattern, PIN, password, Biometric lock type: iris scanner, fingerprint scanner, face recognition, Intelligent Scan – biometric authentication with iris scanning and facial recognition
 • Mengine – Virtual Reality – Gear VR with Controller (SM-R325NZVAXAR), Google Daydream View
Kampuni ya TECNO Yazindua Rasmi Spark 10 PRO

Sifa za Samsung Galaxy S9 Plus

 • Mfumo wa Uendeshaji –  Android 8 (Oreo)
 • Ukubwa wa Kioo –  6.2-inch Quad HD + Curved Super AMOLED, 18.5:9 (570ppi)
 • Ukubwa wa Simu – 158.1mm x 73.8mm x 8.5mm, 189g, IP68
 • Ukubwa wa Kamera – Kamera za nyuma ziko mbili Dual OIS / Wide-angle: Super Speed Dual Pixel 12MP AF sensor (F1.5/F2.4) na nyingine Telephoto: 12MP AF sensor (F2.4) kamera ya mbele 8MP AF (F1.7)
 • Ukubwa wa Processor – 10nm, 64-bit, Octa-core processor (2.8 GHz Quad + 1.7 GHz Quad)
 • Ukubwa wa RAM –  6GB RAM
 • Ukubwa wa Ndani – 64GB + Micro SD Slot (up to 400 GB)
 • Ukubwa wa Battery – 3,500mAh yenye teknolojia ya Fast Wired Charging compatible with QC 2.0 / Fast Wireless Charging compatible with WPC and PMA
 • Uwezo wa Network – Enhanced 4X4 MIMO / CA, LAA, LTE Cat.18
 • Aina za Viunganishi –  Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac (2.4/5GHz), VHT80 MU-MIMO, 1024QAM, Bluetooth® v 5.0 (LE up to 2Mbps), ANT+, USB type-C, NFC, Location (GPS, Galileo, Glonass, BeiDou)
 • Aina za Sensors – Iris sensor, Pressure sensor, Accelerometer, Barometer, Fingerprint sensor, Gyro sensor, Geomagnetic sensor, Hall sensor, HR sensor, Proximity sensor, RGB Light sensor
 • Aina ya Ulinzi – Authentication: Lock type: pattern, PIN, password, Biometric lock type: iris scanner, fingerprint scanner, face recognition, Intelligent Scan: biometric authentication with iris scanning and facial recognition
 • Mengineyo – Virtual Reality: Gear VR with Controller (SM-R325NZVAXAR), Google Daydream View
Kampuni ya Airtel ya Kwanza Kuja na eSIM Tanzania

Na hizo ndio sifa za simu mpya ya Samsung Galaxy S9 pamoja na Samsung Galaxy S9 Plus, tutakuletea uchambuzi zaidi ili uweze kujua simu hii vizuri zaidi.

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

3 Comments