in

Jinsi ya Kubadilisha Simu Yoyote ya Android Kuwa Kama iPhone

Badili muonekano wa simu yako ya Android kuwa iOS

Jinsi ya Kubadilisha Simu Yoyote ya Android Kuwa Kama iPhone5:19

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kubadilisha muonekano wa simu yako mara kwa mara basi makala hii ni kwa ajili yako.

Kupitia makala hii utaweza kujifunza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kubadilisha muonekano wa simu yako ya Android ili iweze kuonekana kama simu ya iPhone, kumbuka njia hii ni rahisi sana na haitaji ujuzi wa aina yoyote hivyo hata wewe unaweza kujaribu muonekano huu kwenye simu yako sasa. Kumbuka unaweza kupata app zote zilizotajwa kupitia hapo chini.

Launcher iOS 14
Price: Free
Control Center iOS 14
Price: Free

Kama unataka kujifunza maujanja zaidi ya jinsi ya kubadilisha simu yoyote ya Android kuwa kama Galaxy S10, unaweza kusoma makala hapa. Kwa habari zaidi na maujanja hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya Tanzania Tech kila siku, pia usisahau kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech hapa kwa ajili ya kujifunza maujanja mbalimbali kwa vitendo.

Jinsi ya Kudownload Nyimbo Mpya Yoyote kwa Urahisi (2021)
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Avatar

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

One Comment