in

Video : Muonekano wa Simu Mpya ya Infinix S4 (Infinix Hot S4)

Muonekano sifa pamoja na yaliyomo kwenye simu mpya ya Infinix S4

Video : Muonekano wa Simu Mpya ya Infinix S4 (Infinix Hot S4)

Kama wewe ni mpenzi wa simu kutoka kampuni ya Infinix basi leo nimekuletea muonekano wa kwanza wa simu mpya ya Infinix S4 au Hot S4, simu ambayo inatarajia kuzinduliwa rasmi hapo siku ya kesho tarehe 14 hapa jijini dar es salaam.

Kupitia hapa utaweza kuona nini kilichopo ndani ya box la simu hiyo, pia utaweza kuona sifa za simu hiyo pamoja na muonekano wake halisi. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie simu hii.

Kumbuka kama unataka kujua bei ya simu hii unaweza kusoma hapa, kwa habari zaidi za teknolojia na makala mbalimbali hakikisha unatembelea tovuti ya tanzania tech pia usisahau ku-subscribe kwenye channel yetu hapa ili kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia.

Kampuni ya Nokia Kubadilisha Logo Yake ya "NOKIA"

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.