Samsung Galaxy S7 Kupatikana Kwa Rangi ya Black Pearl

Samsung yatangaza toleo jipya la samsung galaxy s7 ya rangi nyeusi (Black Pearl)
Galaxy S7 Galaxy S7

Ni siku chache zimepita tangu samsung ilipotangaza toleo la simu yake ya samsung galaxy s7 yenye rangi ya coral blue, kutokana na pendekezo la watu hapo jana kampuni hiyo imethibitisha kuwa sasa samsung galaxy s7 imeongeza rangi nyingine tena kwenye toleo hilo.

Samsung Galaxy S7 Kupatikana Kwa Rangi ya Black Pearl

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *