YouTube na Sehemu Mpya ya Kupeleka Video Mbele Haraka

Youtube imeleta sehemu mpya ya kupeleka video mbele au nyuma
Youtube Youtube

Hivi karibuni Google kupitia mtandao wake wa Youtube imeleta sehemu mpya ya kuwezesha kusogeza video mbele au nyuma sekunde 10 kwa haraka. Sehemu hiyo inapatikana kwenye programu za Android na iOS na inafanya kazi pale video inapo kuwa Full Screen.

Ili kutumia sehemu hiyo unatakiwa kuhakikisha video unayo angalia iko full screen alafu bofya mara mbili upande wa kulia kupeleka mbele au bofya mara mbili upande wa kushoto kurusha nyuma secunde 10.

Advertisement

Sehemu hii tayari inapatikana kwenye programu za Youtube za Android na iOS kama bado hujaziona sehemu hizo basi angalia update kwenye masoko ya App Store kwa iOS pamoja na Play Store kwa Android.

Ili kupata habari zote haraka hakikisha una download App ya Tanzania tech kupitia Play store, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Youtube ili kupata habari zote na maujanja ya teknolojia kwa njia ya video.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *