Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Facebook F8

Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Facebook F8 Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Facebook F8

Siku ya jana tarehe 12 kampuni ya Facebook kupitia mwenyekiti wake Mark Zuckerberg ilizindua rasmi mkutano na wabunifu wa mitandaoni uliopewa jina la F8 mkutano huo ulikua ukizungumzia mipango ya facebook kwa miaka kumi ijayo pamoja na uzinduzi wa huduma mbalimbali mpya za Facebook na Facebook Messenger.

Mkutano huo ulipangwa kufanyika kwa ugwe mbili yani siku ya tarehe 12 na siku ya leo tarehe 13 ambapo pia umezungumzia mambo mbalimbali yanayotegemewa kufanyika na facebook kwa siku za karibuni ikiwa pamoja na kuzindua huduma mpya ya bots on messenger  pamoja na huduma mpya nyingine mbalimbali. Angalia tukio zima la mkutano huo hapo juu kwani lina mambo mengi mazuri ambayo ungependa kuya fahamu.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *