Video Moja Application Kwaajili ya Kungalia Filamu za Africa Bure

Video Moja Application Kwaajili ya Kungalia Filamu za Africa Bure Video Moja Application Kwaajili ya Kungalia Filamu za Africa Bure

Kwasasa namna ya upatikanaji wa filamu ni mkubwa sana hasa kutokana na kuongezeka kwa technolojia hata hivyo kampuni ya VysilHq Network hivi karibuni iliachia application yake itakayo kuwezesha kuangalia filamu za ki-Nigeria moja kwa moja kupitia simu yako.

Watengenezaji wa application hiyo yani VysilHq Network waliandika katika ukarasa wa application hiyo kuwa application hiyo bado iko katika majaribio lakini unaweza uka-ipakua moja kwa moja kutoka kwenye Play Store yani katika mfumo wa Android. Pia application hiyo iliyo pewa jina la “Video Moja” itakuwezesha kuangalia filamu mpya kabisa katika simu yako bila kulipia kiasi chochote cha pesa .

Advertisement

Hata hivyo bado haijajulikana kama application hiyo itakua itaonyesha pia na filamu za kitanzania ama la kwa taarifa zaidi tutaendelea kuwafikishia pindi zitakapo tufikia. Kama unataka kujaribu application hii unaweza kuipakua hapa kwa wale wanaotumia simu zenye mfumo wa Android.

Video Moja
Price: Free

 

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *