Angalia Uzinduzi wa iPhone 13 Ndani ya Dakika 15

Angalia hapa mubashara uzinduzi wa simu mpya za iPhone 13
Angalia Uzinduzi wa iPhone 13 Ndani ya Dakika 15 Angalia Uzinduzi wa iPhone 13 Ndani ya Dakika 15

Kampuni ya Apple hivi leo baada ya kuzindua simu mpya za iPhone 13, iPhone 13 Pro, and iPhone 13 Pro Max pamoja na bidhaa nyingine, hatimaye sasa unaweza kuangalia uzinduzi huo ndani ya DK 15.

Uzinduzi huu umechanganya uzinduzi wa bidhaa zote kutoka kampuni ya apple ambazo zimetangazwa rasmi siku ya leo, ikiwa pamoja na matangazo mengine kutoka Apple. Unaweza kuangalia kwa kubofya Play hapo chini.

Advertisement

Kama kwa namna yoyote utapata shida ya kuangalia uzinduzi huu kupitia hapa, unaweza kujiunga nasi kupitia makala za uchambuzi kuhusu simu mpya zote za iPhone 13, iPad, Pamoja na Apple Watch Series 7.

Kwa habari zaidi za sifa na bei ya simu hizi mpya za iPhone 13 unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapa.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *