Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Infinix Note 8

Angalia hapa mubasahara uzinduzi wa simu mpya ya Infinix Note 8
Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Infinix Note 8 Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Infinix Note 8

Kampuni ya Infinix hivi leo inaleta toleo jipya la simu zake za Note, ambapo leo Infinix inazindua Infinix Note 8, simu hii inasemekana kuja na kamera sita kwa ujumla ikiwa pamoja na kioo kikubwa pamoja na muonekano mpya kabisa.

Karibu tujiunge kwa pamoja kuangalia uzinduzi wa simu hii mpya kutoka kampuni ya Infinix. Bofya Play hapo chini kuangalia mubashara kabisa.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
1 comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *