Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za Galaxy A 1

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za Galaxy A

Kampuni ya Samsung hivi leo inafanya tamasha la uzinduzi wa simu zake mpya za Galaxy A, Uzinduzi huu unafanyika Live huko nchini Thailand, Tumejiunga mubashara kabisa kukuletea uzinduzi huo bofya hapo chini kuangalia uzinduzi huu.. Kama huna bando usijali endelea kutembelea Tanzania Tech tutakujuza yote yanayojiri kwenye mkutano huo.

 

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Oppo Yazindua Simu Mpya za Oppo Reno na Reno 10X Zoom 2
Oppo Yazindua Simu Mpya za Oppo Reno na Reno 10X Zoom
Next Post
Zifahamu Hizi Hapa Sifa na Bei ya Samsung Galaxy A80 3

Zifahamu Hizi Hapa Sifa na Bei ya Samsung Galaxy A80