Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za Galaxy A

Angalia hapa uzinduzi rasmi wa simu mpya za Galaxy A
Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za Galaxy A Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za Galaxy A

Kampuni ya Samsung hivi leo inafanya tamasha la uzinduzi wa simu zake mpya za Galaxy A, Uzinduzi huu unafanyika Live huko nchini Thailand, Tumejiunga mubashara kabisa kukuletea uzinduzi huo bofya hapo chini kuangalia uzinduzi huu.. Kama huna bando usijali endelea kutembelea Tanzania Tech tutakujuza yote yanayojiri kwenye mkutano huo.

Advertisement

 

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *