Video : Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya iPhone 12 Pro

Angalia ubora, ugumu na yaliyopo ndani ya simu mpya za iPhone 12
Video : Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya iPhone 12 Pro Video : Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya iPhone 12 Pro

Mpaka sasa simu mpya za iPhone 12 ni moja ya simu ambazo zinanunua kwa wingi hii inatokana na simu kupendwa na watu wengi kute dunaini kiasi cha kufanya kampuni hiyo kuongeza uzalishaji tofauti na awali kampuni hiyo ilivyo tabiri.

Sasa kuliona hili leo nimeona tuangalie ugumu na ubora wa simu hizi ikiwa pamoja na yaliyomo ndani ya simu hii, bofya hapo chini kuangalia video inayoonyesha ugumu na ubora wa iPhone 12 Pro.

Advertisement

Kujua zaidi unaweza kusoma hapa kujua sifa na bei ya iPhone 12, iPhone 12 SE pamoja na iPhone 12 Pro bila kusahau iPhone 12 Max.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *