TECNO Kushirikiana na Franchise ya TRANSFORMERS

TECNO kuleta tole jipya la TRANSFORMERS la TECNO SPARK 30 Series
TECNO Kushirikiana na Franchise ya TRANSFORMERS TECNO Kushirikiana na Franchise ya TRANSFORMERS

TECNO inashirikiana na franchise ya TRANSFORMERS ya Hasbro kuanzisha toleo maalum la TRANSFORMERS la TECNO SPARK 30 Series, ambalo litaanzishwa mnamo Septemba 2024.

Simu hii ya mkononi ya toleo la kipekee itakuwa na vipengele maarufu vya muundo wa TRANSFORMERS na vipengele vya kiolesura cha mtumiaji, ikiwa na wahusika maarufu kama Optimus Prime na Bumblebee, huku ikihifadhi utendaji na uimara wa SPARK Series.

Advertisement

Ushirikiano huu umelenga kuvutia kizazi cha Z na watumiaji vijana kwa kuchanganya muundo wa kuvutia na teknolojia ya kisasa yenye ufanisi mkubwa wa kucheza games. Uzinduzi huu utaendana na maadhimisho ya miaka 40 ya franchise ya TRANSFORMERS na uzinduzi wa filamu ya animated TRANSFORMERS ONE. Kampuni zote mbili zitafanya juhudi za pamoja za masoko ili kuungana na wapenzi wao.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *