Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Pakua Hapa Wallpaper za Simu Mpya ya iPhone 11 (Download)

Badilisha muonekano wa simu yako na wallpaper za iPhone 11
Pakua Hapa Wallpaper za Simu Mpya ya iPhone 11 (Download) Pakua Hapa Wallpaper za Simu Mpya ya iPhone 11 (Download)

Simu mpya ya iPhone 11 tayari imezinduliwa rasmi na kama kawaida tayari simu hizi zimepitia kwa kampuni ya antutu ili kufanyiwa majaribio mbalimbali. Kwa taarifa za awali ambazo zimwandikwa na tovuti ya GSMArena, simu zote za iPhone 11 zina kuja na uwezo sawa wa RAM ambao ni GB 4.

Hivyo basi haijalishi unataka kununua simu gani kati ya iPhone 11, iPhone 11 Pro au iPhone 11 Max zote zinakuja na uwezo unao fanana kwenye sifa za ndani hasa kwenye upande wa RAM.

Advertisement

Pakua Hapa Wallpaper za Simu Mpya ya iPhone 11 (Download)

Anyway, kama wewe ni mpenzi wa iPhone 11 na ungependa kujaribu wapepa za iPhone 11 kwenye simu yako ya iPhone au Android, basi unaweza kupata wapepa hizo kupitia link inapatikana hapo chini. Pia kama unayo App ya Wapepa unaweza kupata wallpaper hizi ndani ya App hiyo.

Pakua Hapa Wallpaper za Simu Mpya ya iPhone 11 (Download)

PAKUA HAPA WALLPAPER

Pia kama unataka kupakua Wallpaper hizo kwa urahisi na haraka unaweza kupakua app ya Wapepa kupitia link hapo chini.

WAPEPA - Wallpaper
Price: Free+

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use