samsung Galaxy s8 phone

Angalia Hapa Uzinduzi Rasmi wa Simu Mpya ya Samsung Galaxy S8

Kama wewe ni mpenzi wa simu kutoka kampuni ya Samsung leo ni siku kubwa sana kwani leo ndio ule ujio wa simu mpya ya Samsung Galaxy S8. Ungana nasi Live tukiwa tunakuletea matangazo ya kuzinduliwa kwa simu hiyo Live kabisa kutoka marekani. Enjoy!

https://www.youtube.com/watch?v=pfJVUd1gjT8

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa njia ya video.

Previous Post
Samsung Galaxy S8cv
Samsung Galaxy S8 Kuzinduliwa Rasmi Kesho Tarehe 29 March
Next Post
Galaxy S8

Muonekano wa Simu Mpya ya Samsung Galaxy S8 na S8+