Tatizo Instagram: Akaunti Kuwa Suspended Bila Kosa

Tatizo la akaunti kufungiwa Instagram
Tatizo Instagram: Akaunti Kuwa Suspended Bila Kosa Tatizo Instagram: Akaunti Kuwa Suspended Bila Kosa

Habari, kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa instagram na umepata tatizo la akaunti yako kufungwa au kuwa suspended bila wewe kufanya kosa lolote basi hii taarifa ikufikie.

Mapema leo kumekuwa na tatizo la akaunti za instagram kufungwa bila sababu bila kuwa na njia ya kurudisha akaunti hiyo.

Advertisement

Tatizo hili linaonekana kupata watu wengi duniani hivyo pengine hili ni tatizo kutoka kwenye mtandao huo.

Kwa taarifa zaidi unaweza kuendelea kutembelea Tanzania Tech tutakupa taarifa zaidi pindi tutakapo zipata.

 

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *