Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jaribu App Mpya ya Tanzania Tech Lite

Soma habari kwa urahisi zaidi bila kupata matatizo yoyote
App mpya ya tanzania tech App mpya ya tanzania tech

Kwa muda sasa tumekuwa tukipata maoni mbalimbali kuhusu baadhi ya watu kushindwa kutumia kwa ukamilifu baadhi ya sehemu kwenye app yetu ya Tanzania tech na sasa tumewaletea suluhisho.

Tanzania tech lite ni app mpya ya Tanzania tech ambayo itakuwa inakupa habari na mafunzo mbalimbali ya teknolojia kutoka tovuti ya tanzaniatech.one. App hii inakuja na mabadiliko na wepesi kutumia zaidi kuliko app ya Tanzania Tech ya kawaida.

Advertisement

Mambo yalipo kwenye App ya Tanzania Tech Lite.

  • Matangazo yamepunguzwa sana
  • Huna haja ya kulogin ili kusoma makala za Tanzania tech
  • Utaweza kuchagua kipengele ukipendacho zaidi
  • App ipo kwa Kingereza na Kiswahili
  • Muonekano rahisi unaofanya kazi kwa asilimia 100.
  • Toleo la lite lina MB 9 tu
  • Muonekano wa Dark Mode kwa Asilimia 100 na mambo mengine mengi.

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao walikua waki lalamika kuwa link za Tanzania tech hazifanyi kazi kwa usahihi basi hakikisha unapakua toleo hili la Tanzania tech lite kwani kupitia hapa utaweza kufurahia na kujifunza teknolojia kwa urahisi zaidi.

Unaweza kuona muonekani wa app hii kwa kuangalia baadhi ya picha hapo chini.

Jaribu App Mpya ya Tanzania Tech Lite

Unaweza kubadilisha lugha kwa kubofya Settings au kubofya mpangilio kama utakuwa umechagua kiswahili.

Jaribu App Mpya ya Tanzania Tech Lite

Makala zipo kwenye mpangilio ule ule ambao unaupenda huku sasa ikiwa ni rahisi zaidi kufungua makala kwa urahisi na haraka.

Jaribu App Mpya ya Tanzania Tech Lite

Chagua makala uziendazo na pata notification ya habari hizo pekee, unaweza kufanya hivyo kwa kubofya sehemu ya alama ya love kisha bofya mpangilio au settings kisha save au hifadhi.

Jaribu App Mpya ya Tanzania Tech Lite

Vipengele vyote vinaonekana mwisho kabisa kwenye menu na unaweza pia kupanga vipengele kulingana na pendekezo lako kwa kubofya sehemu ya mishale upande wa kulia juu.

Jaribu App Mpya ya Tanzania Tech Lite

Sasa utaweza kutoa maoni kwa urahisi kwa kubofya sehemu ya maoni chini ya makala, ni rahisi na haraka sana.

Hayo na mengine yanapatikan kwenye app ya Tanzania tech lite, jaribu sasa kupakua app hii uweze kujaribu yote yaliyopo ndani ya app hii. Usisahau kutoa maoni yako.

Download App Hapa

Kwa habari zaidi pamoja na makala za teknolojia hakikisha unapakua app hii au toleo la kawaida la Tanzania tech.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use