Part 2 : Jinsi Nilivyo Tengeneza Milioni 20 Mtandaoni

Kupitia hapa nitakwambia kwanini niliacha biashara hii
Part 2 : Jinsi Nilivyo Tengeneza Milioni 20 Mtandaoni Part 2 : Jinsi Nilivyo Tengeneza Milioni 20 Mtandaoni

Kupitia Video hii tunaendela kwenye Muondelezo wa Video iliyopita ambayo nilikuwa nikiwaonyesha jinsi nilivyo weza kutengeneza pesa mtandaoni zaidi ya Milioni 20 kwa kutumia njia rahisi.

Kupitia Video hii utaweza kujua kwa nini niliacha kufanya njia hii au kikwazo kikubwa cha biashara hii ni nini, ni muhimu sana kujua haya kabla ya kuendelea kwenye awamu ya mwisho ambayo nitakuonyesha jinsi ya kupata pesa kwa kutumia tovuti ambayo mimi nilitumia kwa kipindi hicho.

Advertisement

Kama unataka kuona mfano wa tovuti hiyo unaweza kuangalia hapa na utaweza kuona tovuti kama hiyo ambayo nimeiweka kama mfano.

Kama unataka kupata mfumo kama huu hakikisha una tembelea tovuti ya Tanzania Tech kila siku pia kama unataka kuwa wa kwanza kupata mfumo huu hakikisha una subscriber kwenye channel yetu kwani ni watu wachache wa kwanza watakao pata mfumo huu.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use