Namna ya Kupakua Filamu Kwa Kutumia Smartphone Yako

Namna ya Kupakua Filamu Kwa Kutumia Smartphone Yako Namna ya Kupakua Filamu Kwa Kutumia Smartphone Yako

Inawezekana labda uko safari na unataka kuangalia filamu flani iwe ni filamu kutoka Hollywood au Bollywood lakini tatizo hauna computer au PC kwa muda huo na pia tunajua filamu za sasa ili uweze kufurahia sauti na picha angavu inakubidi kupakua filamu zenye MB au hata GB kubwa kidogo, inawezekana pia hauna MB za kutosha pia Je unafanyaje.? ifuatayo ni njia rahisi ya kupakua filamu yenye sauti na picha angavu kwa kutumia simu yako na kwa kutumia kiasi kidogo cha MB mpaka MB 300 tu.

Ni rahisi hatua ya kwanza kama wewe unatumia simu yenye mfumo wa Android ingia katika Play Store kisha tafuta na pakua application iitwayo (ADM) Advanced Download Manager lakini kama unataka application hii ambayo imesha lipiwa unaweza kuipakua Hapa > (ADM) Advanced Download Manager Pro.

Advertisement

Kisha install katika simu yako baada ya hapo ifungue application hiyo, kisha nenda katika Browser ya simu yako kama vile Google Chrome kisha andika website hii  300mbfilms.biz Kisha chagua kama unataka filamu za kihindi ama za kizungu kisha fuata maelekezo ya website hiyo na uwanze kupakua filamu zako moja kwa moja kupitia smartphone yako.

KUMBUKA Application ya ADM inafanya kazi sawa na ile ya IDM ya kwenye computer yako kwa wale msio ijua application hii husaidia kudownload kwa haraka na pia usaidia  kusubirisha ama ku-pause filamu pale MB zako zitakapoisha gafla.

Pia blog hiyo ya 300mbfilms.biz ina filamu zenye lugha mbili hata kama filamu ni ya kingereza inakuwa na lugha ya kingereza na kihindi hivyo basi kumbuka utakapo maliza kupakua filamu yako badilisha Audio kwenda kwenye lugha unayotaka.

Angalia Video hapo Juu kwa maelekezo zaidi, pia usisite ku-comment kama kunamahali ujaelewa na unataka kuelekezwa zaidi.

 

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use