Namna ya Kudownload HD Video Yotube Kwa kutumia Android

Namna ya Kudownload HD Video Yotube Kwa kutumia Android Namna ya Kudownload HD Video Yotube Kwa kutumia Android

Kuna Watu wengi wanapata shida katika ku-download video kutoka mtandao wa YouTube kwa kutumia smartphone zao, lakini zipo application nyingi zinazo wezesha kusaidia ku-download video katika mtando wa  youtube lakini pia application hizo mara nyingi zinakuitaji ulipie au utakuta zina matangazo mengi sana ambayo yana sababisha usiweze kutumia application hizo kwa uhuru na urahisi.

Leo Tanzania tech inakuletea njia rahisi ya ku-download HD videos Kutoka katika mtandao wa YouTube, iwe una download Music Videos, Movie Trailer au hata Music Audio au MP3 Application hii itakupa Video au Audio zenye Quality makini sana.

Advertisement

Ili uweze kudownload Application hii akikisha simu yako ni Android na hakikisha simu yako ina bando lakutosha at list 50MB’s na kuendelea kwani application hii ina 20MB.

  1. Download Application  Download Hapa.
  2. Kisha Install Application Hiyo kwenye Smartphone (Android) yako.
  3. Baada ya Kufanya Installation ya application yako click kwenye icon ya YouTube.
  4. Search Video unayotaka Ku-download kisha click Kwenye sehemu iliyoandikwa Download Iliyoko upande wa kushoto chini.
  5. Kisha chagua Quality na Format ya Video unayotaka.
  6. Kisha kwa mara nyingine Click Download

Pia unaweza ku-download Audio kutoka kwenye video kwa kutumia application hii, fuata hatua hizohizo hapo juu ila kumbuka kubadilisha format kuwa MP3 (sehemu hiyo inapatikana chini kabisa).

Application hii ni bure kabisa na unauwezo wa ku-download video zenye Quality mpaka ya 1080p .

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use