Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Fahamu Njia Rahisi ya Kujua Mapato na Matumizi Yako

Njia rahisi ya kujua mapato na matumizi kupitia simu yako
Fahamu Njia Rahisi ya Kujua Mapato na Matumizi Yako Fahamu Njia Rahisi ya Kujua Mapato na Matumizi Yako

Kama wewe ni kama mimi na wakati mwingine unafanya matumizi bila kuweza kujua ni kiasi gani cha pesa ulicho tumia basi jaribu app ya Mapato na Matumizi.

Advertisement

Mapato na Matumizi ni app itakayo kusaidia kuhifadhi data za mapato na matumizi yako kwa urahisi kwa kutumia simu yako.

Fahamu Njia Rahisi ya Kujua Mapato na Matumizi Yako

App hii inakuja na mfumo rahisi ambao unakuwezesha kuweka data zako za mapato na matumizi kwa urahisi na haraka. Kupitia app hii utaweza kuona matumizi yako na mapato kwa kila mwezi na pia utaweza kuona list nzima ya mapato na matumizi kupitia kurasa maalum ndani ya app hii.

Kizuri ni kuwa, huna haja ya kuwa na Internet ili kuweza kutumia app hii basi unacho hitaji ni simu yako tu. App hii pia haina matangazo na utaweza kutumia bila usumbufu wowote.

Fahamu Njia Rahisi ya Kujua Mapato na Matumizi Yako

Kwa sasa app hii haina sehemu ya Backup hivyo endelea kutumia app hii wakati tukitengeneza sehemu ya backup kwa ajili yako.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use