Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG

Semina iliyofanyika Ili kuonyesha Teknolojia Mpya za Vifaa vya LG kwa Mawakala (Dealers)
MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG

Kampuni ya LG imefanya kweli tena baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Ukanda wa Afrika Mashariki Bw Dongwon Lee kungoza watendaji na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika Semina ya Mawakala (Dealers Seminar) ya aina yake Jijini Dar es Salaam.

MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG

Advertisement

Kupitia Semina hiyo ya Mawakala ambapo pamoja na mambo mengine mawakala hao walipewa mafunzo maalumu kuhusu teknolojia mpya za LG na baadaye wakashiriki katika kipindi cha maswali na majibu ambapo washindi walijinyakulia zawadi mbalimbai za kusisimua kutoka LG.

MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG

Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Balozi wa Korea nchini Bw KIM, Sun Pyo na Balozi wa India nchini Bw Binaya Srikanta Pradhan.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use