Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Haya Hapa Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite

Oraimo FreePods Lite zinasifika kwa kutunza chaji kwa muda mrefu zaidi
Haya Hapa Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite Haya Hapa Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite

Tarehe 9 Agosti 2023 ndio siku ambayo earbuds mpya kutoka oraimo ambazo zinaitwa “FreePods Lite” ziliingia sokoni rasmi. Kampuni ya oraimo imejibebea umaarufu sana kwa kutengeneza vifaa vya kielektroniki vyenye ubora wa hali ya juu, na safari hii imeleta bidhaa hii mpya yenye sifa kemkem na ikiwa na bei ya chini sana.

Oraimo FreePods Lite zinasifika kwa kutunza chaji kwa muda mrefu zaidi. Earbuds hizi zina uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa arobaini. Hii inakusaidia wewe mtumiaji wake kuwa huru muda wote bila kuhofia earbuds zako kukata moto.

Advertisement

Haya Hapa Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite

Licha ya kuwa na uwezo wa kutunza chaji hadi saa arobaini, oraimo FreePods Lite endapo zitachajiwa kwa takribani dakika kumi tu basi zina uwezo wa kukaa na chaji hadi dakika 120 ukiwa unazitumia.

Haya Hapa Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite

Pia, oraimo FreePods Lite zina uwezo mkubwa wa kukufanya wewe mtumiaji wake usikie mikito yote ya ngoma yako pendwa, hii ni kwasababu earbuds hizi zimetengenezwa na HavyBass algorithm ambayo inakupa clear high frequency and deep, rich bass.

Haya Hapa Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite

Vilevile, Kupitia teknolojia ya 2-mic ENC, oraimo FreePods Lite inaweza kutambua na kuchuja kelele pale unapopiga au kupigiwa simu, hivyo kumuwezesha mtu unayezungumza nae upande wa pili kukusikia kwa ufasaha zaidi.

Haya Hapa Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite

Mbali na hayo bidhaa hii ya oraimo ni rafiki na maji kwani ni waterproof na unaweza itumia bila kushika simu yako kwani unaweza kuplay au kustop wimbo kwa kugusa earbuds zako.

Haya Hapa Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite

Oraimo FreePods Lite zinapatikana katika maduka yote ya oraimo au unaweza tembelea website yao tz.oraimo.com

Oraimo ina bidhaa ambazo zinapatikana zaidi ya nchi 60 na ina watumiaji zaidi ya milioni mia mbili (200 million+ users). Pia kampuni hii imepokea tuzo mbalimbali ikiwemo “Best Mobile Accessories Marketing Company Of The Year”

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use