Kampuni ya LG Yazindua TV ya Inch 65 Inayo Kunjika Kama Karatasi

TV hiyo mbali na kukunjika kama karatasi lakini inatumia teknolojia ya 4K
LG TV LG TV

Mkutano wa Consumer Electronics Show au (CES 2018) Tayari umesha anza rasmi huko nchini Las Vegas, Kampuni mbalimbali nazo tayari zimesha anza kufanya uzinduzi wa bidhaa zake mbambali.

Tukianza na kampuni ya LG hivi karibuni kampuni hiyo imetangaza TV ya aina yake ya inch 65, TV hiyo inakuja na teknolojia mpya ya kioo cha kisasa chenye teknolojia ya UHD au 4K na ambacho kinakunjika kama karatasi.

TV hii iko kwenye mkutano wa CES 2018 na kwa sasa bado haijajulikana ni lini itatoka kuwafikia wateja, lakini labda tutegemee TV hii siku za karibuni. Kujua zaidi endelea kutembelea Tanzania Tech tutakujuza yote kuhusu TV hii pamoja na yote yanayoendelea kujiri kupitia mkutano wa CES 2018.

Advertisement

Kwa habari zaidi za teknolojia hakikisha una download App yetu mpya ya Tanzania Tech kupitia Play Store na vilevile tembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia Youtube ili uweze kujifunza zaidi mambo yote ya teknolojia kwa njia ya Video.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use