Jiandae na Toleo Jipya la Game ya Call of Duty WWII November 3

Jiandae na Game hii mpya ya Call of Duty WWII
Jiandae na Toleo Jipya la Game ya Call of Duty WWII November 3 Jiandae na Toleo Jipya la Game ya Call of Duty WWII November 3

Kama wewe ni mpenzi wa Game kama mimi lazima utakua unajua kuwa Call of Duty ni moja kati ya Game bora sana ambazo zimeshinda tuzo mbalimbali za game duniani ikiwemo ile ya BAFTA Games Award.

Sasa basi hivi karibuni game hiyo inarudi tena na toleo jipya ambapo sasa itakuwa ni Call of Duty WWII, na kwa mujibu wa wataalamu wa game game hii inategemea kuvunja rekodi na kuwa game bora ya Action kwa mwaka 2018 hadi 2019 ikiwa na njia bora na mpya za kuicheza.

Advertisement

Kwa mujibu wa Tech Radar game hii itapatikana rasmi November 3 na itakuwa kwenye mifumo yote ya game yaani PS4, Xbox One pamoja na PC.

Kwa habari zaidi za game hii mpya na kujua lini itapatikana Tanzania rasmi endelea kutembelea Tanzania Tech nasi tutakujuza yote mapya, pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka zaidi.

Chanzo : Tech Radar

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use