Hizi Ndio Habari Kubwa za Teknolojia kwa Wiki Hii (24/4/2016)

Hizi Ndio Habari Kubwa za Teknolojia kwa Wiki Hii (24/4/2016) Hizi Ndio Habari Kubwa za Teknolojia kwa Wiki Hii (24/4/2016)

Hii ni wiki ya kwanza kwa wale mlio kosa kusoma habari zote za teknolojia kwa wiki nzima leo siku ya jumapili 24 tanzania tech blog tunakuletea habari zote kubwa za wiki zilizopewa kipaumbele kwenye ulimwengu mzima wa teknolojia kwa nje na ndani ya Tanzania.

 

Jufunze namna rahisi ya kuangalia kama simu yako ni feki ili usije ukazimiwa simu yako siku ya tarehe 16 ya mwezi june mwaka huu kama ilivyotajwa na TCRA.

Advertisement

Kama unataka kununua laptop ni vyema ukasoma habari hii kwani utapata urahisi wa kujua ni laptop gani ununue na wapi pa kununua.

Kwa wale wenye wasiwasi na wapenzi wao sasa ufumbuzi umepatikana kuna kitanda kimegunduliwa ambacho kinaweza kukupa taarifa pale mkeo atakapo kuwa anakusaliti.

Jifunze namna rahisi ya kuweka tafsiri kwenye filamu yako, ni rahisi sana mana kuna video inayokuonyesha namna ya kufanya hatua kwa hatua.

Soma habri hii kama unataka kujua ni vitu gani vya kuangalia kama unataka kununua kompyuta iwe imetumika ama mpya, soma habari hii upate ujuzi wa bure kabisa kutoka kwa wataalamu mbalimbali.

Je unataka like au follower wengi katika akaunti zako za instagram na facebook soma habri hii uweze kujifunza hatua kwa hatua namna ya kuongeza watu kaika akaunti zako hizo.

Soma Hapa upate taarifa za kampuni ya Apple kutoa toleo lake jipya la Macbook lenye rangi nzuri ya Gold pia soma sifa za laptop hiyo mpya ya Macbook.

Kama unatafuta televisheni ni muhimu ukapitia hii habari kwani utapata kujua TV bora za mwaka 2016 ambapo utapata kujua ni ipi upate kununua.

Kwa wale wapenda game kama sisi habari njema hii hapa kuna toleo jipya la PS4 linakuja pia linakuja likiwa na sifa mpya zitakazo kufanya upende Playstation yako zaidi.

Wapenzi wa mtandao wa youtube habari hii ni mjema kwenu kwani sasa kampuni ya Google imesema kuwa inaleta huduma nyingine nyingi mpya ikiwepo video za 360 soma zaidi habari hii.

 

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use