Jinsi ya Kufanya Backup Kwenye Simu ya Android

Fanya backup ya Majina, Application, Call log, SMS Pamoja na Bookmark Bila kutumia Gharama Yoyote
Backup Backup

Inaweza unataka kufanya backup ya simu yako ya Android lakini kutokana na gharama za siku hizi ni ngumu sana kupata programu ambayo inafanya vyote hivi kwa bure kabisa, ndio maana leo tanzania tech tumekuja na namna rahisi ya kufanya backup kwenye simu yako bila kutumia gharama ya aina yoyote.

Basi kwa kuanza basi vitu unavyoitaji ni vichache sana, bila sha unatumia simu ya Android hakikisha iwe inatumia Android 2.1 na kuendelea pia unatakiwa kuwa na bando kama MB10 na kuendelea ukisha kuwa na vyote hivi moja kwa moja bofya hapo chini ili kupakua programu hiyo.

Advertisement

Simu Backup
Price: To be announced

Baada ya kudownload programu hiyo moja kwa moja kwenye simu yako ifungue kisha chagua kile unachotaka kufanya backup, kwa mfano kama unataka kufanya backup ya SMS utachagua sms pia kama untaka kufanya backup ya programu mbalimbali kwenye simu yako.

Hakikisha simu yako inayo nafasi ya kutosha pale unapofanya backup ya programu mbalimbali kwani programu hii inauwezo wa kufanya backup ya programu zote zilizomo ndani ya simu yako hata kama zimekuja na simu yako.

Kwa kupata habari zaidi unaweza kuungana nasi kupitia App yetu ya Tanzania Tech App au kupitia barua pepe (email) na tutakujulisha pindi tu habari mpya itakapo ingia kwenye tovuti yetu ya Tanzania tech, pia unaweza kutufuata kwenye mitandao ya kijamii ya  facebook, Instagram, Twitter na Youtube Channel ili kupata video za habari na mafunzo ya teknolojia mbalimbali.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use