in

Jinsi ya Kupata Bidhaa za Amazon Bure Bila Kulipia

Utaweza kununua bidhaa yoyote ya amazon bure bila kulipia, njia inafanyakazi 100%

Jinsi ya Kupata Bidhaa za Amazon Bure Bila Kulipia

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao ni watumiaji wa mtandao basi lazima unajua kuwa amazon ni moja ya mitandao mikubwa duniani inayo uza bidhaa mbalimbali kupitia mtandao.

Lakini wakati mwingine kutokana na gharama kubwa imekuwa ni ngumu kwa watanzania wengi kushindwa kununua bidhaa kutoka tovuti hiyo kubwa duniani. Kuliona hilo leo kupitia makala hii nimekuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia kupata bidhaa za amazon bure bila kulipia.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Kifupi ni kuwa, kupitia njia hii utaweza kununua bidhaa kupitia amazon bila kuwa na pesa au kulipia bidhaa hizo moja kwa moja kwenye mtandao huo wa amazon. Basi baada ya kusema hayo moja kwa moja twende kwenye njia hii.

Kama unavyoweza kuona kwenye video hapo juu unaweza kupata bidhaa yoyote kupitia amazon kwa kufuata njia hii. Kumbuka ni muhimu kuendelea kufanya hatua hizo kama unahitaji kupata pesa zaidi za kununua bidhaa kupitia mtandao wa amazon.

Unaweza kupata link zote zilizotajwa kwenye video hapo juu kupitia hapo chini, hakikisha unafuata maelezo yote kama nilivyo onyesha kwenye video hapo juu.

Kama unataka kujiunga na Amazoni unaweza kujiunga kupitia link hapo chini.

Jiunge na Amazon Hapa

Kama unataka kujiunga na touti ya kuleta mizigo ya MyUS unaweza kujiunga kupitia link hapo chini.

Jiunge na MyUS Hapa

Kama unataka kujiunga na touti ya kuleta mizigo kutoka Amazon kwa hapa Tanzania unaweza kujiunga nayo hapo chini.

Jiunge na Easy Buy Africa Hapa

Kama unataka kujiunga na tovuti iliyotajwa hapo Capterra, unaweza kujiunga kupitia link hapo chini

Jiunge na Tovuti Iliyotajwa Hapa

Kama unataka kuona jinsi ambavyo niliweza ku- redeem card zangu unaweza kuangalia video hapo chini. Kumbuka subiria ndani ya siku chache kabla ya kupokea zawadi zako.

Kama unavyoweza kuona hapo juu hivyo ndivyo unaweza kununua bidhaa kupitia amazon bure kabisa bila kulipia. Kama unataka kujua zaidi unaweza kutumia sehemu ya maoni hapo chini kuuliza maswali au kutoa ushauri wowote.

Kwa maujanja zaidi unaweza kujifunza hapa hatua kwa hatua jinsi ya kununua bidhaa kupitia tovuti ya amazon, au unaweza kusoma hapa kujifunza jinsi ya kununua bidhaa kupitia tovuti ya aliexpress.

Jinsi ya Kupata Bidhaa za Amazon Bure Bila Kulipia
Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Tumia Simu Iliyopasuka Kioo Kupitia Kompyuta

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.