in

Video: Unboxing, Muonekano, Simu Mpya za iPhone 12

Angalia yaliyomo ndani ya box la iPhone 12, na muonekano wa simu hizi mpya

Video: Unboxing, Muonekano, Simu Mpya za iPhone 1211:28

Ukweli ni kwamba watu wengi sana upendelea iPhone, japo kuwa mimi binafsi ni mpenzi na mtumiaji zaidi wa Android lakini kuna wakati inanibidi kutumia iPhone kutokana na kuona watu wengi sana karibu yangu wakitumia simu hizi.

Mara baada ya kuzinduliwa kwa iPhone 12 nimepata maswali mengi sana binafsi kutoka kwa watu wa karibu na imekuwa ni ngumu sana kujibu kutokana na kuto kushika simu hizi najua itachukua muda, hivyo leo natumaini majibu mengi yataweza kupatikana kwenye video hii ya MKBHD ambapo amejibu maswali mengi sana ambayo nimekuwa nikiulizwa. Hasa swali hili la chaja!

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Nadhani kwa kuangalia video hapo juu utakuwa umejua yote yaliyomo ndani ya box la simu za iPhone 12, ikiwa na majibu kuhusu chaja ya simu hii ambayo haitumi kichwa cha USB ya kawaida bali ni USB Type C, hii itakubidi wewe mtumiaji wa iPhone 12 kununua kichwa cha chaja kutokana na kuwa simu hizi mpya za Apple haziji na kichwa cha chaja kwenye box.

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

One Comment