in

Jinsi ya Kutumia Simu ya Android Kwenye Kompyuta

Utaweza kufanya kila kitu kwenye simu yako kupitia kompyuta

Jinsi ya Kutumia Simu ya Android Kwenye Kompyuta6:18

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanakuwa wanatumia kompyuta mara kwa mara basi makala hii ni kwa ajili yako, kupitia makala hii nitaenda kuonyesha hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kutumia simu yako ya Android kupitia kompyuta yako.

Njia hii ni rahisi sana na ni fupi sana hivyo huna haja ya kupoteza muda mrefu zaidi ya kuangalia video hapo chini na kujifunza hatua zote mwanzo mwisho. Kumbuka ni muhimu kuwa na kivinjari cha Google Chrome kwenye kompyuta yako ili kuweza kukamilisha hatua zote hizi kwa urahisi.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

  • Download programu ya Android ya Vysor kupitia hapo chini.
Vysor - Android control on PC
Vysor - Android control on PC
  • Download Extension ya Vysor Hapa chini
Vysor
Vysor
Developer: vysor.io
Price: Free

Kwa kufuata njia zote hizo utakuwa umeweza kuunganisha simu yako na kompyuta kwa urahisi kabisa, kama kuna mahali ambapo utakuwa umekwama tuambie kwenye sehemu ya maoni hapo chini. Kama ungependa kutumia kompyuta yako kwenye simu yako ya Android unaweza kujifunza hatua kwa hatua kupitia makala hii hapa.

Kwa maujanja zaidi hakikisha unatembelea tovuti ya Tanzania Tech kila siku, pia hakikisha una subscribe kwenye channel yetu hapa ili kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo.

Menu za Siri Ambazo Ulikuwa Huzijui Kwenye Windows 11

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.