Video: Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Huawei Mate 30

Angalia uzinduzi wa simu mpya za Huawei Mate 30 na Mate 30 Pro
Video: Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Huawei Mate 30 Video: Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Huawei Mate 30

Kampuni ya Huawei hivi punde inaenda kutangaza ujio wa simu zake mpya za Huawei Mate 30 na Mate 30 Pro, Angalia hapa mubashara uzinduzi huu kutoka huko nchini ujerumani. Simu hizi zinategemewa kuzinduliwa bila programu za Google wala huduma yoyote ile ya Google, angalia hapa ili kuweza kujua simu hii sasa inatumia nini.? Angalia hapa mubashara..!

https://www.youtube.com/watch?v=BMd7ZX-eXY4

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use