in

Jiandae na Msimu Mpya wa Game ya Need For Speed Playback

Kwa wale wapenzi wa game za magari usikose hii mpya

NEED FOR SPEED PLAYBACK

Habari njema kwa wapenzi wa game za magari, hivi karibuni tegemea kufurahia msimu mpya wa game ya Need for Speed na sasa imepewa jina la Need for Speed “Playback” ikiwa na muonekano mpya.

Kwa muonekano tu wa game hii sasa utaweza kufurahia uwezo mpya wa kucheza game hii ikiwa imeboreshwa zaidi huku ikiwa na vikwazo vingi vinavyofanya game hiyo kuwa nzuri sana na ngumu hivyo kuleta maana ya kucheza game.. usifuatishe maneno yangu angalia vidokezo vyake hapo chini.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Game hii inategemewa kutoka mwezi November tarehe 10 na inategemewa kutoka kwenye vifaa vyote yaani Xbox One, PlayStation 4 pamoja na PC. Kwa sasa unaweza kuweka oder ya kununua game hii kupitia hapa http://x.ea.com/34266 na utapata Exclusive Platinum Blue Underglow and Tire smoke hapo na tumaini gamers wote tumelewana.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

Chanzo : EA

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments