in

Habari Kubwa za Teknolojia kwa Wiki Hii (8/5/2016)

Habari Kubwa za Teknolojia kwa Wiki Hii (8/5/2016)

Hizi ndio habari kubwa za teknolojia za wiki hii, kama ulipitwa na habari kubwa za teknolojia kwa wiki nzima hii ni nafasi yako kwani tumekukusanyia zote kubwa kwa wiki hii nzima.

Kama wewe unatumia saa janja za Apple soma hii upate kujua namna ya kuweka window 98 kwenye saa yako ya apple watch.

Inawezekana haujui kuwa Tv yako inaweza kutumia programu maarufu ya Android, kama unataka kuzijua TV hizi zenye programu ya android soma habari hii.

Kama wewe ni mpenzi wa mchezo wa Playstation, Xbox wa Call of Duty soma hapa upate kujua toleo jipya la Call of Duty ambalo lilizinduliwa tarehe 3 mwezi huu.

Kama wewe ni mwana blogger na unamiliki blog ya blogspot soma hii kwani ni tangazo maalum kutoka kampuni ya Google ambao ndio wamiliki wa Blogspot zote.

Hivi karibuni Instagramu ilipata pigo tena kwa kuwa hacked, soma na kijana wa miaka 10, kama unataka kujua zaidi soma habari hii.

Kama unafanya biashara kwa kutumia mitandao ya kijamii soma hii kwani Instagram inakuletea akaunti za kibiashara kama zile za facebook maarufu kama Facebook page.

Na fahamu kuwa inashangaza na inaonekana kama vile haiwezekani ila kama huamini soma habari ili upate kujua zaidi pia kuna video inayoonyesha wana teknolojia wakitumia ngozi kama touch screen.

Jumapili hii ilikua siku ya mama duniani unaweza ukashereke siku hii ya muhimu sana na kampuni ya Apple soma habari hii upate kujua zaidi.

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

3 Comments