Sunday Movie #21 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili (Pasaka) 1

Sunday Movie #21 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili (Pasaka)

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #21, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambazo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie mbili kwa kuwa leo ni siku ya pasaka na najua kuwa leo upo nyumbani hivyo unaweza kufurahia kuangalia movie hizi siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kupakua haraka pale movie inapo wekwa.

Movie Nzuri #1

Pakua Movie #1 480p (MB 450.8)

Pakua Movie #1 720p (MB 999.2)

Movie Nzuri #2

Pakua Movie #2 480p (MB 939.1) Masaa 4

Pakua Movie #2 720p (GB 2.17) Masaa 4

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #20 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Pakasa njema na Jumapili njema yenye baraka!

Previous Post
Jinsi ya Kudownload Game za Kompyuta (EPIC Games) Bure 2
Jinsi ya Kudownload Game za Kompyuta (EPIC Games) Bure
Next Post
TECNO Kuzindua Simu Mpya ya Tecno Spark 7 Mwezi Huu 3

TECNO Kuzindua Simu Mpya ya Tecno Spark 7 Mwezi Huu