Sunday Movie #18 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili 1

Sunday Movie #18 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #18, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kuakua haraka pale movie inapowekwa.

Pakua 480p (MB 443.3)

Pakua 720p (MB 946.5)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #16 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Jumapili njema yenye baraka!

Previous Post
Tofauti ya Infinix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s 2
Tofauti ya Infinix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s
Next Post
App ya Grasshopper

App Kutoka Google Itakayo Kufundisha Web na App Design