Sunday Movie #15 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili ya Leo 1

Sunday Movie #15 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili ya Leo

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #15, miezi iliyopita hatukua na kipengelea hichi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Kama wewe ni mpenzi wa kipengele hichi unaweza kutoa maoni hapo chini kama unataka tuendelee na kipengele hichi.

Kwa siku ya leo nakurudisha nyuma kidogo mwaka 2020 na hii ni moja ya filamu nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini.

Pakua 480p (MB 416.5)

Pakua 720p (793.4 MB)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #14 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Jumapili njema yenye baraka!

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Sifa za Muhimu za Simu Mpya ya Infinix Hot 10 Play 2
Sifa za Muhimu za Simu Mpya ya Infinix Hot 10 Play
Next Post
Jinsi ya Kutuma na Kupokea SMS kwa Kutumia Kompyuta 3

Jinsi ya Kutuma na Kupokea SMS kwa Kutumia Kompyuta